Prayers in Swahili, Congolese | Dominik M. Ramík Dominik M. Ramík
Česky
En français


Prayers in Swahili, Congolese (kiswahili)

list Show the list of prayers in all languages

autorenewLoading the map
 Vigorous language (126)   Endangered language (12)   Moribund / extinct language (4)
 Speaker outside of the usual language range


Do you like this project? Support it by a donation via PayPal.

Swahili, Congolese (kiswahili)

face Speaker: Clarisse (Democratic Republic of the Congo, Bunia)
add_circle_outline Church: Roman Catholic Church
translate Info about the language: text_fields Script: Latin (info on ScriptSource)
import_contacts Source of the text: The text comes from official church sources.

Sign of the Cross in Swahili, Congolese (kiswahili)

play_circle_filled
Kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu. Amina

Lord's Prayer in Swahili, Congolese (kiswahili)

play_circle_filled
Baba yetu, uliye mbinguni
jina lako litukuzwe.
Ufalme wako ufike.
Utakalo lifanyike duniani kama mbinguni.
Utupe leo chakula chetu cha kila siku,
utusamehe makosa yetu,
kama tunavyowasamehe waliotukosea.
Usituache kushina vishawishi,
alakini utuopoe katsika Mwovu.
Amina

Hail Mary in Swahili, Congolese (kiswahili)

play_circle_filled
Salamu Maria, umejaa nema,
Bwana ni nawe,
mbarikiwa kuliko wanawake wote
mbarikiwa mtote wa tumbo lako Yesu.
Maria mtakatifu,
Mama wa Mungu,
utuombee sisi wakosefu,
sasa na wataki wa kufa kwetu.
Amina

Gloria Patri in Swahili, Congolese (kiswahili)

play_circle_filled
Atukuzwe Baba, na Mwana na Roho Mtakatifu.-----
Kama mwanzo, na siku zote, na milele na milele.
Amina

Apostles' Creed in Swahili, Congolese (kiswahili)

play_circle_filled
Ninamwamini Mungu, Baba Mwenyezi, Muumba wa mbingu na dunia,
Na Yesu Kristo, Mwana wake wa pekee, Bwana wetu,
aliyetwaa mwili kwa tendo la Roho Mutakatifu,
akazaliwa na Bikira Maria.
Akateswa zamani za Pontio Pilato,
akasulibiwa, akafa, akazikwa,
akashuka kuzimuni mwa wafu,
akafufuka katika wafu siku ya tatu,
akapanda mbinguni,
anakaa kwa mukono wa kuume wa Mungu,
Baba Mwenyezi,
ndipo atakuja tena kuhukumu wazima na wafu.
Ninamwamini Roho Mutakatifu,
Eklesia katolika takatifu,
ushirika wa watakatifu,
ondoleo la zambi,
ufufuko wa mwili,
na uzima wa milele.
Amina
list Show the list of prayers in all languagesTanna