Prayers in Swahili | Dominik M. Ramík Dominik M. Ramík
Česky
En français


Prayers in Swahili (kiswahili)

list Show the list of prayers in all languages

autorenewLoading the map
 Vigorous language (126)   Endangered language (12)   Moribund / extinct language (4)
 Speaker outside of the usual language range


Do you like this project? Support it by a donation via PayPal.

Swahili (kiswahili)

face Speaker: Caroline (Kenya, Nairobi, Karen)
add_circle_outline Church: Roman Catholic Church
translate Info about the language: text_fields Script: Latin (info on ScriptSource)
import_contacts Source of the text: The text comes from official church sources.

Sign of the Cross in Swahili (kiswahili)

play_circle_filled
Kwa Jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu. Amina

Lord's Prayer in Swahili (kiswahili)

play_circle_filled
Baba yetu uliye mbinguni,
jina lako litukuzwe.
Ufalme wako ufike.
Utakalo lifanyike duniani ka mbinguni.
Utupe leo mkate wetu wa kila siku.
Utusamehe makosa yetu,
kama tunavyowasamehe na sisi waliotukosea.
Usitutie katika kishawishi,
lakini utuopoe maovuni.
Amina

Hail Mary in Swahili (kiswahili)

play_circle_filled
Salamu, Maria, umejaa neema,
Bwana yu nawe,
umebarikiwa kuliko wanawake wote,
na Yesu, mzao wa tumbo lako amebarikiwa.
Maria mtakatifu, Mama wa Mungu,
utuombee sisi wakosefu,
sasa na saa ya kufa kwetu.
Amina

Gloria Patri in Swahili (kiswahili)

play_circle_filled
Atukuzwe Baba, na Mwana na Roho Mtakatifu.
Kama mwanzo, na siku zote, na milele na milele.
Amina
list Show the list of prayers in all languagesMadagaskar